Maelezo ya Chini
a Nje ya Skandinavia Maharamia hao walipewa majina kama vile makafiri, Wadenmark, Watu wa kaskazini, au Wanoweji. Na kwa sababu wanahistoria wengi wa kisasa wanatumia mtajo “Maharamia wa Skandinavia” kuwahusu wakazi wote wa nchi za Skandinavia walioishi muhula wa Maharamia hao, tumetumia mtajo huo katika makala hii. Asili ya mtajo “Maharamia wa Skandinavia” haijulikani.