Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ingawa hivyo, katika visa fulani vibaya zaidi, huenda kukawa na sababu halali za kumfanya mume na mke waachane. (1 Wakorintho 7:10, 11) Isitoshe, Biblia inaruhusu talaka kwa msingi wa uasherati. (Mathayo 19:9) Kumtaliki au kutomtaliki mwenzi asiye mwaminifu ni uamuzi wa kibinafsi, na wengine hawapaswi kumlazimisha mwenzi asiye na hatia kufanya uamuzi wowote.—Ona kitabu Siri ya Kupata Furaha ya Familia, ukurasa 158-161, kilichochapishwa na Watchtower Bible and Tract Society of New York, Inc.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki