Maelezo ya Chini
a Kwa mfano, katika ensaiklopedia ya kitiba ya karne ya kwanza ya Dioscorides, matibabu yaliyokusudiwa kuponya homa ya nyongo ya manjano yalikuwa kunywa mkorogo wa divai na kinyesi cha mbuzi! Bila shaka, sasa twajua kwamba dawa ya aina hiyo huenda ingezidisha maumivu ya mgonjwa.