Maelezo ya Chini
a Ingawa mfululizo huu unaelekezwa hasa kwa wale walio wagonjwa au walemavu, mfululizo “Ugonjwa wa Kudumu—Kukabiliana Nao Mkiwa Familia” (Gazeti la Amkeni! la Mei 22, 2000) ulikuwa na habari iliyoelekezwa hasa kwa wale ambao wanawatunza wagonjwa.