Maelezo ya Chini
c Jambo la kupendeza ni kwamba, uchunguzi mwingi sana wa kitiba umeonyesha kwamba imani huboresha afya na hali njema ya mtu. Profesa Dale Matthews wa Kitivo cha Kitiba cha Chuo Kikuu cha Georgetown asema kwamba, “imani imethibitishwa kuwa muhimu sana.”