Maelezo ya Chini
a Karotini na anthosianini ni dutu sawa za asili zinazofanya majani yanayopukutika yawe na rangi ya manjano, ya machungwa, na nyekundu hafifu wakati wa majira ya kupukutika.—Ona Amkeni!, la Septemba 22, 1987, ukurasa wa 16-18, Kiingereza.