Maelezo ya Chini
a Gazeti la Discover linasema kwamba, mwendo wa mzunguko au wa duara wa maji unaotukia katika mawimbi yote unachangia kupungua kwa maji. Watu wanaoogelea baharini huhisi wakivutwa baharini kabla tu ya wimbi kuwafikia. Mvuto huo huwa na nguvu sana katika tsunami na ndio unaosababisha kupwa kwa maji kwenye fuo au bandari kabla tu ya wimbi la kwanza kupiga.