Maelezo ya Chini
a Raia na wakazi wa nchi nyingi huwa na nambari fulani ya utambulisho. Nambari hiyo inaweza kutumiwa si tu kwa ajili ya kujitambulisha kibinafsi bali pia kwa ajili ya utozaji wa kodi na utunzaji wa afya. Huko Marekani, raia huwa na ile inayoitwa Social Security number. Nchi mbalimbali zina majina mbalimbali kwa nambari za utambulisho.