Maelezo ya Chini
a Kuna maeneo sita yanayokuza maua ya pekee ulimwenguni. Wataalamu wa mimea hutambua maeneo hayo kwa sababu yana mimea ya pekee sana. Jimbo la Cape nchini Afrika Kusini ni mojawapo ya maeneo hayo sita.