Maelezo ya Chini
c Wanavajo huona chavua kuwa takatifu na wanaitumia katika sala na ibada, nayo inawakilisha uhai na kuzaliwa upya. Wanavajo huamini kwamba mwili hutakaswa mtu anaposafiri kwenye kijia kilichonyunyiziwa chavua.—The Encyclopedia of Native American Religions.