Maelezo ya Chini
a Kijitabu Kujifunza Kusoma na Kuandika (kimetafsiriwa katika lugha 6) na kijitabu kipya Jitahidi Kusoma na Kuandika (kimetafsiriwa katika lugha 29). Vyote viwili vimechapishwa na Mashahidi wa Yehova. Ukitaka nakala yako ya bila malipo, nenda kwenye Jumba la Ufalme katika eneo lenu au uwaandikie wachapishaji wa gazeti hili.