Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mashahidi wa Yehova huiona kazi yao ya kuhubiri kuwa ya lazima kwa Wakristo wa kweli—kama alivyofanya mtume Paulo. Yeye alisema hivi: “Ikiwa, sasa, ninatangaza habari njema, hiyo si sababu ya mimi kujisifu, kwa maana nimewekewa sharti.” (1 Wakorintho 9:16) Hata hivyo, kazi yao ya kuhubiri ni kazi ya kujitolea kwa sababu wamechagua kwa hiari kuwa wanafunzi wa Kristo, wakijua kabisa madaraka yanayoambatana na pendeleo hilo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki