Maelezo ya Chini a Dalili zinazoonyeshwa hapa zakusudiwa kuandaa muhtasari tu wala si kuandaa njia ya kubainisha mshuko wa moyo.