Maelezo ya Chini
a Bado kuna ubishi mkali kuhusu jinsi vyakula vilivyobadilishwa maumbile vinavyoweza kuathiri mazingira, afya ya wanadamu na ya wanyama. Kuchanganya chembe za urithi za viumbe wa jamii tofauti kabisa kumewafanya wengine watilie shaka uhalali wa jambo hilo.—Ona Amkeni!, Aprili 22, 2000, ukurasa wa 25-27.