Maelezo ya Chini
a Yaelekea Samhain si jina la mungu wa kifo wa Waselti kama inavyosemekana mara nyingi, bali ni jina la sherehe hiyo. Kulingana na Jean Markale, mtaalamu Mfaransa wa historia ya Waselti, huenda mungu wa nuru, aitwaye Lug, ndiye aliyeheshimiwa wakati wa sherehe ya Samhain.