Maelezo ya Chini
c “Wenyeji wa Carthage waliliita eneo linalozunguka Carthage, Afrika. Baadaye jina hilo lilirejezea maeneo yote yaliyojulikana ya bara hilo. Waroma waliendelea kutumia jina hilo walipofanya eneo hilo kuwa mkoa wao.”—Dictionnaire de l’Antiquité—Mythologie, littérature, civilisation.