Maelezo ya Chini
b Wakati mwingine uyoga wa huitlacoche huuzwa katika mikebe. Huenda uyoga huo wa mkebe uwe umekwisha kutayarishwa. Uyoga huo unapohifadhiwa katika friji, unaweza kubaki bila kuharibika kwa siku 8 hadi 15.