Maelezo ya Chini
a Gazeti la The Times linasema kwamba idadi hiyo ya milioni 70 “inavutia,” lakini “jambo ambalo halisemwi mara nyingi ni kwamba milioni 26 kati ya idadi hiyo ni washiriki wa Kanisa la Anglikana. Watu wapatao milioni moja tu ndio huenda kanisani hapa [Uingereza], wengine ni Waanglikana kwa jina tu.”