Maelezo ya Chini
b Neno la awali la Kigiriki la uasherati ni por neiสนa. Neno hilo humaanisha matendo ya ngono yanayohusisha kutumia viungo vya uzazi ambayo hufanywa na watu wasiofunga ndoa. Hilo latia ndani kushika-shika viungo vya uzazi vya mtu mwingine na ngono inayohusisha mdomo.