Maelezo ya Chini
a Kwa sababu udongo una chokaa nyingi katika eneo hilo, ilikuwa rahisi kuchimba vyumba chini ya ardhi ambavyo hutumiwa kama ghala. Vyumba hivyo vina urefu wa zaidi ya kilometa 250 na vina halijoto ya nyuzi 10 Selsiasi. Ghala nyingi katika eneo la Reims ni machimbo ya mawe ya kale ya Waroma.