Maelezo ya Chini
b Aina fulani za champagne hutengenezwa kwa zabibu ya Chardonnay pekee, kama vile divai maarufu ya Blanc de Blancs (linamaanisha nyeupe inayotokana na nyeupe), inayotengenezwa kwa zabibu zinazokuzwa kwenye eneo la Côte des Blancs, kusini ya mji wa Épernay.