Maelezo ya Chini
a Kutafuna chingamu huongeza mate, nayo huondoa asidi kwenye meno, na hivyo kudumisha afya bora mdomoni na kuzuia meno yasioze. Madaktari wa meno wanapendekeza kwamba chingamu isiyo na sukari itumiwe kwa kusudi hilo.