Maelezo ya Chini
a Kanda au vitambulisho vyaweza kuchakaa sana hivi kwamba habari zilizoandikwa hazisomeki. Hata hivyo, habari hizo zaweza kusomeka kwa kutumia asidi maalumu. Kila mwaka, Maabara ya Kufunga Ndege Ukanda huko Marekani husoma mamia ya kanda zisizosomeka kwa kutumia njia hiyo.