Maelezo ya Chini
a Uchunguzi unaonyesha kwamba kuharibika kwa mimba huathiri kila mwanamke kwa njia tofauti. Baadhi ya wanawake huvurugika, wengine hukata tamaa, na wengine huhuzunika sana. Watafiti wanasema kwamba kuharibika kwa mimba husababisha majonzi, na kuomboleza humsaidia mtu kurudia hali ya kawaida.