Maelezo ya Chini
a “Jumla ya pato la taifa” ni thamani ya bidhaa na huduma zote ambazo nchi hutoa kwa mwaka.
[Picha]
PESA ZINAZOSAFIRISHWA KIHARAMU
Zikiwa zimefichwa ndani ya shehena ya wanasesere
KUSAFIRISHA KOKEINI KIHARAMU
Kokeini yenye thamani ya dola 4,000,000 za Marekani ilipatikana mpakani ndani ya gari moja la kwenda safari
UGAIDI WA KIBIOLOJIA
Maaskari watafuta virusi vya kimeta huko Capitol Hill, Washington, D.C.
MASHAMBULIZI YA MABOMU
Bomu lililotegwa kwenye gari lalipuka huko Israel
KUENEA KWA UKIMWI ULIMWENGUNI POTE
Ugonjwa wa UKIMWI umeenea sana huko Afrika Kusini hivi kwamba hospitali fulani za umma hazikubali wagonjwa zaidi
VIUMBE WANAOVAMIA MAZINGIRA MAPYA
Nyoka-mti wenye rangi ya kahawia wako karibu kuwamaliza ndege wote wa msituni huko Guam
GUGU-MAJI
Mmea huu huziba mifereji na kingo za mito katika nchi 50 hivi
[Hisani]
Kusafirisha pesa na kokeini kiharamu: James R. Tourtellotte and Todd Reeves/U.S. Customs Service; ugaidi wa kibiolojia: AP Photo/Kenneth Lambert; basi linaloungua: AP Photo/HO/Israeli Defense Forces; mtoto: AP Photo/Themba Hadebe; nyoka: Photo by T. H. Fritts, USGS; gugu-maji: Staff CDFA, California Dept. of Food & Agriculture, Integrated Pest Control Branch