Maelezo ya Chini
b Yai la mbuni “lina vitundu vingi vinavyowezesha hewa kuingia ndani ya yai. Kwa sababu ya mvukizo unaoanza baada ya yai kutagwa, nafasi ya hewa hutokea katikati ya tando mbili za ganda katika upande mnene wa yai.”—Ostrich Farming in the Little Karoo.