Maelezo ya Chini
d Iwapo hujafikia umri wa kuoa au kuolewa, ni jambo la busara kuwa na watu wa jinsia tofauti katika kikundi kilicho na mchanganyiko wa watu mbalimbali. Ona makala ya “Vijana Huuliza . . . Vipi Ikiwa Wazazi Wangu Wanafikiri Mimi Ni Mchanga Mno Kuweka Miadi ya Kijinsia?” katika toleo la Amkeni! la Januari 22, 2001.