Maelezo ya Chini
b Upasuaji wa kubadili sura hufanyiwa sehemu za mtu zisizo na kasoro ili aboreshe umbo lake. Upasuaji wa kurekebisha sura hufanywa ili kurekebisha sehemu za mwili ambazo zimeumbuka kwa sababu ya majeraha, magonjwa au kasoro ambazo mtu amezaliwa nazo. Hizi zote ni aina za upasuaji wa kubadili sura.