Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kwa kuwa mizunguko ya mwezi na dunia ina umbo la yai, ukubwa wa jua na mwezi huonekana ukibadilika ikitegemea mahali vilipo kwenye mizunguko hiyo. Wakati mwezi uko katika sehemu ya mzunguko wake iliyo mbali zaidi na dunia, sehemu yenye giza zaidi ya kivuli chake haiwezi kufikia dunia. Wakati jambo hilo linapotokea, watazamaji walio katika sehemu ya kivuli hicho huona jua limepatwa, likiwa kama pete nyangavu yenye giza katikati.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki