Maelezo ya Chini
b Tukio kama hilo hutukia pia katika sehemu nyinginezo katika maeneo ya kusini na magharibi mwa Pasifiki, kutia ndani Visiwa vya Cook, Samoa, Visiwa vya Solomon, Tonga, na Vanuatu. Zaidi ya hayo, inaripotiwa kwamba minyoo mingine ya jamii hiyohiyo huibuka kwa wingi katika sehemu nyingine za ulimwengu, kutia ndani kwenye Visiwa vya Malay, Ghuba ya Mexico, Karibea, na Japan.