Maelezo ya Chini
b Inasemekana kwamba vanila inayokuzwa katika mashamba makubwa huko Réunion, Madagaska, Mauritius na Shelisheli ilitokana na kipandikizi kimoja cha mmea kilicholetwa Réunion kutoka kwa shamba moja maarufu huko Paris liitwalo Jardin des Plantes.