Maelezo ya Chini
a Chombo hicho kiliitwa Zeppelin au chombo thabiti kwa sababu kilikuwa na nguzo za kukitegemeza. Chombo kisicho thabiti hakikuwa na nguzo zozote bali kilikuwa puto tu lililojaa gesi. Chombo cha tatu kilifanana na chombo kisicho thabiti lakini kilikuwa na nguzo upande wa chini. Tofauti na puto, vyombo hivyo viliendeshwa kwa mota.