Maelezo ya Chini
c Kuzungumza kwa ukawaida na mtu wa jinsia tofauti kwa simu au kutumiana ujumbe ni namna ya kutafuta uchumba. Tafadhali ona makala “Vijana Huuliza—Kuna Hatari Gani Mvulana na Msichana Wanapokutana Kirafiki?” katika gazeti la Amkeni! la Desemba 22, 2001.