Maelezo ya Chini
b Kwenye pigano hilo la kihistoria, jeshi la Walakota na Wacheyene 2,000 hivi liliangamiza Luteni Kanali George Armstrong Custer na kikosi chake cha waendeshaji wa farasi 215, na kumshinda Meja Marcus Reno na Kapteni Frederick Benteen na waendeshaji wa farasi waliokuja kusaidia. Crazy Horse alikuwa mmoja wa viongozi Wahindi katika pigano hilo.