Maelezo ya Chini
a Chombo cha virginal kilitumiwa kuanzia miaka ya 1400 na kilikuwa na nyaya 32. Kilifanana na marimba lakini kilitoa sauti kama ya kinubiuzi. Ganuni ilikuwa aina ndogo ya kinubiuzi.