Maelezo ya Chini
c Kondoo aitwaye Dolly ndiye aliyekuwa mnyama wa kwanza kufanyizwa kutokana na chembe ya msingi bila kujamiiana. Wanasayansi walitia kiini cha chembe iliyotoka kwenye matiti ya kondoo aliyekomaa, ndani ya yai ambalo waliondoa kiini.