Maelezo ya Chini
a Watu fulani wamedai kwamba sheria hii ilihusu kumjeruhi mama peke yake. Hata hivyo, maandishi ya awali ya Kiebrania hayasemi hivyo. Wasomi wa Biblia wenye kuheshimiwa C. F. Keil na F. Delitzsch wanasema kwamba kulingana na maandishi ya Kiebrania, “yaonekana maneno hayo hayahusu kamwe kumjeruhi mwanamke peke yake.”—Ona Mnara wa Mlinzi, Agosti 1, 1977, Kiingereza, ukurasa wa 478.