Maelezo ya Chini
a Meli za kuvunja barafu hutofautiana kwa ukubwa na muundo, ikitegemea mahali ambapo zinatumiwa—iwe ni bandarini, katika bahari kuu, au katika maeneo yenye baridi sana. Makala hii inazungumzia hasa meli zinazotumiwa katika bahari kuu.