Maelezo ya Chini
a Mweka-rasilimali mkuu katika kampuni ya Daimler, Emil Jellinek, alidokeza magari hayo yaitwe jina la binti yake, Mercedes. Alihofia kwamba magari hayo hayangenunuliwa na watu wengi nchini Ufaransa, iwapo yangeitwa jina la Kijerumani Daimler.