Maelezo ya Chini
b Mwanzoni magari hayo ya Ford T yaligharimu dola za Marekani 850, lakini kufikia mwaka wa 1924 gari jipya aina ya Ford lilinunuliwa kwa dola 260 tu. Uundaji wa magari ya Ford T uliendelea kwa muda wa miaka 19, wakati magari milioni 15 yalitengenezwa.