Maelezo ya Chini
c Wanahistoria fulani wanaamini kwamba baadhi ya wasafiri hao wa kale wa Pasifiki walisafiri hadi pwani ya Peru huko Amerika Kusini na kwamba walirudi na viazi vitamu. Ikiwa ni hivyo, inamaanisha kwamba viazi vitamu vilielekea upande tofauti na tunda la shelisheli, kwani hatimaye vilifika Kusini-Mashariki mwa Asia, ambapo miche ya mshelisheli ilitoka.