Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

g Asilimia 90 ya watu wanaougua kisukari huugua Aina ya 2. Hapo zamani aina hiyo ya kisukari ilijulikana kama kisukari “kisichotegemea insulini” au kisukari “kinachowapata watu wazima.” Lakini semi hizo hazielezei waziwazi ugonjwa huo, kwani asilimia 40 ya watu wanaougua ugonjwa wa kisukari wa Aina ya 2 wanahitaji insulini. Isitoshe, vijana wengi zaidi—hata wale walio chini ya umri wa miaka 13—wanaugua ugonjwa wa kisukari wa Aina ya 2.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki