Maelezo ya Chini
a Jina hilo ni la Kikatalani, ambayo ndiyo lugha kuu huko Barcelona na eneo jirani la Catalonia. Lugha yenyewe inatokana na Kilatini na inahusiana na Kihispania na Kifaransa. Watu wengi jijini huongea Kihispania na Kikatalani.