Maelezo ya Chini
b Shirika la Kitaifa la Marekani la Ugonjwa na Matatizo ya Kujinyima Chakula linakadiria kwamba watu milioni 8 huwa na ugonjwa wa kujinyima chakula nchini Marekani peke yake na kwamba wagonjwa kadhaa walio mahututi hufa. Walio wengi kati yao (asilimia 86) walianza kuwa na matatizo ya kula kabla ya kufikia umri wa miaka 21.