Maelezo ya Chini
a Bila shaka, chakula kinachofaa ni muhimu pia. Watu wa mashambani barani Afrika mara nyingi hula nafaka na mboga kuliko wenzao wanaoishi mijini. Pia wao hawatumii sukari, vyakula vya viwandani, na soda kwa wingi—vitu ambavyo hufanya meno yaoze.