Maelezo ya Chini
a Tume ya Kimataifa ya Kudhibiti Uwindaji wa Nyangumi huruhusu wenyeji wa Alaska na Siberia wawinde nyangumi ili kujiruzuku tu. Hatua hizo zimewafaidi nyangumi wa kijivu, ambao sasa wanaonwa na wenyeji kuwa rafiki kwa sababu ya tabia zao zilizotajwa na kiongozi wetu.