Maelezo ya Chini
a Uchunguzi uliofanywa hivi majuzi unaonyesha kwamba asilimia 50 hadi 60 ya watu wanaougua ugonjwa huo hutumia vitamini, madini, mitishamba, na vidonge vingine. Ingawa baadhi ya vitu hivyo haviwezi kuwadhuru, vingine havifaulu au hata ni hatari. Kwa hiyo, kabla ya wagonjwa kutumia njia nyingine za matibabu au kumeza vidonge, wanapaswa kufikiria hatari zake.