Maelezo ya Chini
a Shauri la Yesu la kulipa “Kaisari vitu vya Kaisari” halikumaanisha kulipa kodi tu. (Mathayo 22:21) Kitabu Critical and Exegetical Hand-Book to the Gospel of Matthew cha Heinrich Meyer kinaeleza: “[Vitu vya Kaisari] . . . si kodi ya serikali tu, lakini vitu vyote ambavyo tunapaswa kumlipa Kaisari akiwa mtawala halali.”