Maelezo ya Chini
a Hiyo ni michoro ya wanyama na maumbo ya jiometria kwenye nyanda za Nazca, Peru, na ni mikubwa sana hivi kwamba haiwezi kuonekana mtu akiwa chini. Ona makala “The Nazca Lines—A UFO Spaceport?” katika toleo la Kiingereza la Amkeni! la Januari 8, 1982.