Maelezo ya Chini
a Wale wanaotaka kupunguza uzito wanaweza kuongeza mwendo wao kutoka dakika 12 kwa kilometa moja hadi dakika 9 kwa kilometa moja, hivyo kupunguza asilimia 30 zaidi ya kalori kila dakika. Kuongeza mwendo kutoka dakika 9 kila kilometa hadi dakika 7 kila kilometa, kutapunguza asilimia 50 zaidi ya uzito kwa dakika moja. Watu wengi wanaotaka kudumisha afya yao hutembea kilometa moja kwa dakika 7 hadi 9.